Changes boy JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 552 Reaction score 363 Aug 26, 2017 #1 Msanii avirl bila make-up japokua analo tatizo la ngozi (acne).wasanii wabongo waweza weka picha zao bila makeup japo kuwa hawana au wanalo tatizo la muonekano wa nyuso. Msanii Avirl bila make-up
Msanii avirl bila make-up japokua analo tatizo la ngozi (acne).wasanii wabongo waweza weka picha zao bila makeup japo kuwa hawana au wanalo tatizo la muonekano wa nyuso. Msanii Avirl bila make-up
Changes boy JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 552 Reaction score 363 Aug 26, 2017 Thread starter #2 Mbona wakenya kimya
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,017 Reaction score 16,431 Aug 26, 2017 #3 bigboy blockchain said: Mbona wakenya kimya Click to expand... Nadhani kwa sababu Wakenya wengi hapa jf hawapendi kuongea mambo ya wasanii. Wengi wanapenda kuongea mambo ya uchumi na siasa.
bigboy blockchain said: Mbona wakenya kimya Click to expand... Nadhani kwa sababu Wakenya wengi hapa jf hawapendi kuongea mambo ya wasanii. Wengi wanapenda kuongea mambo ya uchumi na siasa.
Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,583 Aug 26, 2017 #4 Bila make up? Ana lips nyekundu hivyo bila make up? Au hamjui lipstick ni make up pia?
Changes boy JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 552 Reaction score 363 Aug 26, 2017 Thread starter #5 Hapo anayomakeup cheki hizi ambazo hana makeup Msanii Avirl bila make-up
Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Aug 27, 2017 #6 bigboy blockchain said: Hapo anayomakeup cheki hizi ambazo hana makeup Msanii Avirl bila make-up Click to expand... Umekosa cha kufanya Sent using Jamii Forums mobile app
bigboy blockchain said: Hapo anayomakeup cheki hizi ambazo hana makeup Msanii Avirl bila make-up Click to expand... Umekosa cha kufanya Sent using Jamii Forums mobile app