Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Block kutanuka pamoja na kuunguza plug.Nataka kununua pikipiki used na mimi niwe boda lakini kila kona naona hizi mali zinauzwa sana. Vipi wajuzi hivi zina changamoto sana labda..ushauri
View attachment 3091658
Ila ni vyema kama ni used atafute Tvs maana hizo ni roho ya pakaKwa muonekano boxer imekaa vizuri zaidi
Mm na yangu yaani gafla tuu haitaki kuwaka baada yakunyeshewa na mvua hivi tatizo inaweza kuwa ni nini?Block kutanuka pamoja na kuunguza plug.
Tatizo ni kunyeshewa namvuaMm na yangu yaani gafla tuu haitaki kuwaka baada yakunyeshewa na mvua hivi tatizo inaweza kuwa ni nini?
1200000Shilling ngapi?
Bei gani?Piki piki honda scooter tu mengine haya njoo kifo nikarbie
Scooter ya sanya milioni 2Piki piki honda scooter tu mengine haya njoo kifo nikarbie
Asante mkuu, ila nimeshachoka pikipiki za muundo wa boxer , yaan kama tvs nataka muundo tofauti. Simpo kwa ruti za hapa hapa town sibebi mizigo ni misele tuOngeza hela ingia kariakoo nunua HONDA-ACE CC 110 zinauzwa million 1.7- 2,,,ni pikipiki mpya muonekano kama wa TVS ila bei bado ipo chini fanya faster kabla hazijapanda bei. Tatizo la TVS zinasumbua kutanua block na caburator zake zinajam sana,,,,,sikushauri ununue pikipiki used nyingi zilikuwa zinapiga bodaboda na wengi wa bodaboda hawafanyi service hata ukikuta pikipiki ya mwaka mmoja madogo hawajui kutunza.Na pia nyingi wanazouza unakuta wamebadilisha baadhi ya spare parts na kukufungia chakavu.