Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Babu eheheheh
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Yap wengine vibibi sio mbayaUnajua humu JF tuko umri na umri, kuna muda unaweza kuwa unabishana na mzee wako bila kujijua.
JF raha sana.
Yap wengine vibibi sio mbaya
Du..umeona mbali [emoji23] [emoji23]Siku hizi hawatengenezi pombe kali, maana mkilewa mapema ni hasara kwa Viwanda.
Yap yapHa ha ha, kwa hiyo hapo ni bila bila au ngoma droo?
Yap yap
Mama Sabrina sasa unavuka mipaka. .[emoji35]Lakin sio wote,,wengine wala,,sema kuna wale wanawashwawashwaa
Nimeacha basiiMama Sabrina sasa unavuka mipaka. .[emoji35]
Bora uache tu..Nimeacha basii