Hizi pombe za sikukuu bhana, nimemwona mrembo akinywa safari lager!

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti.

Nimeshangaa kweli aisee. Hizi pombe za sikukuu ni sheeeder aisee
 
Hivi kwaani safari lager ina tatizo gani kwa waremboinawapotezea urembo, nini..!!
 
Yanini kunywa castle light 10,wakati nikinywa safari zangu 3 tu mambo shega!
 
Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti.

Nimeshangaa kweli aisee. Hizi pombe za sikukuu ni sheeeder aisee
Mtaani hali mbaya sana kiuchumi....hakuna wa kumchuna...

Hivo ameamua kupiga bia atakayolewa mapema....

pesa ya kunywa Heineken haipo...

Poleni dadazangu mliozoea kutuchuna....ngoja na nyie muisome namba kidogo
 
Sikukuu ya Leo Hali mbaya bar hazijafurika kama ilivyozoeleka. Atakuwa anapiga hiyo safari ili azimike mapema
 
Ki ukweli mwanake apendezi kunywa bia hizi. Safari, castle lager, hata serengeti. Mwanamke anywe lite ndovu heineken au bia za kopo. Haya mapombe yenye ujazo wa 500ml hayawafai kwa kweli.
 
Bibi yangu anakandamiza safar lager balaaa, akitulia siku mbili bila kuipata ni sheedah...
 
Ungemshauri anywe plisner aka kifurushi cha chuo
Bei yke ambayo ni 1500

Ovaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…