Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
likizo ipo mtakutana, bt lazma mvumiliane sana
Ni mwanamke ninayempenda sana na nishapeleka kishika uchumba kwao,tatizo ni kuwa yeye kapangwa wilaya ya KAHAMA,mi nimepangwa wilaya ya NJOMBE,mwenye ushauri anishauri nifanye nini ili tuwe wilaya moja? coz naona NDOTO ZA NDOA ZIMEINGIA DOA
Au anayetaka kwenda KAHAMA na kapangwa mikoa ya nyanda za juu kusini-MBEYA,IRINGA,NJOMBE,NA RUKWA-SUMBAWANGA,tuwasiliane wakuu,ili muokoe ndoa yangu tarajiwa!
Au anayetaka kwenda KAHAMA na kapangwa mikoa ya nyanda za juu kusini-MBEYA,IRINGA,NJOMBE,NA RUKWA-SUMBAWANGA,tuwasiliane wakuu,ili muokoe ndoa yangu tarajiwa!
njoo misungwi mwanza
poule mkuu.
solutions
1.kufunga ndoa ili mmoja wenu amfate mwenzako
2.uuguzi may be mama yako, so inabidi uwe nae karibu kumuuguza
kumbuka mpaka ufanye kazi miaka 3
But Tanzania kila kitu ni possible ......so wewe tuu
Sasa rafiki yangu ukipangwa huko sumbawanga kuna afadhali gani tena jamani, Njombe to Sumbawanga si bora uje kwetu Songea, Njombe to Songea ni 240km, nauli 10,000 basi
njoo misungwi mwanza
sifa ya walimu ni kukosa uvumilivu, na kuwa na haraka ya kuolewa! ATAOLEWA Kahama
kwani huko mnako kwenda hakuna wanawake au wanaume hadi ulalamike namna hiyo!