Hizi sasa dharau brother Pep

Hizi sasa dharau brother Pep

Geechie

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
977
Reaction score
761
Nimefurahishwa na habari hii kumbe hata wazungu nao Wana mafumbo kama ya uswazi,ona jinsi Pep Guardiola anachowafanyia kina Pogba kwa kuwaambia kuwa Bornemouth ni timu kali kuliko zote alizokutana nazo.
1474142355215.png
 
huyu tutamuamini maneno yake,punde atakapopambana na Barcelona
 
Lakini Pep huwa hana kuongelea timu pizani vibaya hata siku moja huwa anaziheshimu sana timu pizani tena kwa kuzisifu sana.
Pia hii tabia anayo coach wa sasa wa Barca
 
Pilipili hoho watu wanakulaga tu maana hamna namna si haliwashi # Pogba n Co.
 
We muache tu EPL haina mbwembwe
 
WATFORD3-1MAN FONGO pilipili hoho limechanganywa na nyanya limezudi kuwa tamu badala ya kuwasha
 
Sasa ulitaka aseme nini wakati hata Watford imewakalisha!
 
Asitukane mamba kabla hajavuka mto. Bado mechi 34 (90%). Safari bado ndefu sana...
 
Back
Top Bottom