Nimefurahishwa na habari hii kumbe hata wazungu nao Wana mafumbo kama ya uswazi,ona jinsi Pep Guardiola anachowafanyia kina Pogba kwa kuwaambia kuwa Bornemouth ni timu kali kuliko zote alizokutana nazo.
Lakini Pep huwa hana kuongelea timu pizani vibaya hata siku moja huwa anaziheshimu sana timu pizani tena kwa kuzisifu sana.
Pia hii tabia anayo coach wa sasa wa Barca