Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Subiri huu ukitoka labda waufanyie marekebisho tu.
Kumbe wimbo hujatoka, wewe umejuaje kwamba mhusika hajaimba chochote zaidi ya kusema "hey, yo haaa?"

Labda na wewe nikukumbushe, hao hao wasioimba chochote zaidi ya kusema "hey, yo" na mmoja wao akiwa Neyo, kwenye wimbo wa Maarry You umefikisha 6X Platinum na kuwa the first African Artist under UMG!

Hoping wametumia SA Certification, 6X Platinum ni 120,000 units sales! Marry You unauzwa kwa $1.29; so with 120K units sales ni zaidi ya $150,000 na hiyo ni iTune peke yake kabla hatujawaweka mapato ya Youtube, caller tunes wala royalties za radio & tv stations
 
Kwahiyo ulikuwa unapita huku na kule na kuwauliza ikiwa wanaufahamu wimbo wa Marry You wa Diamond ft Neyo, au?!

Collabo na Neyo walikuwa wanaponda hivi hivi lakini imemfanya kuwa first African Musician under UMG kupata 6X Platinum Sales.

Kwamba Lucky Dube alianza kujenga himaya Africa ndicho ambacho Diamond amekuwa akifanya! Over the past 2-3 years, focus yake ilikuwa ni Africa! Alianza West Africa akahamia South Africa kwa sababu huko ndiko muziki wake unafuatiliwa zaidi!

Ingawaje hajaikamata vya kutosha Afrika lakini leo hii hawezi kung'angania collabo za Afrika pekee bila kuangalia pande zingine za dunia!!
 
Ungetembea pia ungejua hapo hapo USA kuna watu hawajui hata J.Lo ni nani! Tena wale wa hip hop unawajua wewe maarufu kuna watu USA ukiwauliza hawawajui kabisaaaa!
 
Ungetembea pia ungejua hapo hapo USA kuna watu hawajui hata J.Lo ni nani! Tena wale wa hip hop unawajua wewe maarufu kuna watu USA ukiwauliza hawawajui kabisaaaa!
Nilimwandikia post moja kumfafanulia kwa kina na kuonesha ni namna gani hoja yake isivyo na msingi na ni kwanini muhimu kufanya collabo na akina Omarion na sio akina Drake kama ambavyo tungependa iwe!!

Niliamua kuifuta kwa sababu zangu binafsi!!!
 
 
 
Af unapomfananisha mond na kiba n makosa makubwa saana sawa nakumfananisha samata na ngasa hvo bx unapofananisha angaliaga kwanza so mnafananishafananisha 2 h8rs never win 4ever
 


haujatoka redioni ila baadhi tumeusikia.
 
Lazima tukubali kuwa Diamond ana bidii katika kazi yake na pia ana njaa ya mafanikio zaidi. Kwa upande mwingine Ali Kiba inambidi na yeye aige vile vizuri ambaye hasimu wake anavyo
 
Lazima tukubali kuwa Diamond ana bidii katika kazi yake na pia ana njaa ya mafanikio zaidi. Kwa upande mwingine Ali Kiba inambidi na yeye aige vile vizuri ambaye hasimu wake anavyo
Kiba hawezi kuiga ujinga mkuu
Mondi kachoka sa hv amebaki kutafuta Kik tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…