Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Ati kolabo ufanye na Omario ndo ukachafue mitandaoni na kudumba kama umefanya kolabo na drake kumbe kolabo na veterani
 
!
!
Kajigundulia hii style ya kushurikisha wasanii wakubwa wakubwa ili afaidike na fan base zao. Anaweza kuwa msanii wa kwanza kuwa na Collaboration nyingi sana.
 
Omario alikuwa zamani Bump Bump Bump , Badamoom.
 
huwezi kufikia 3 kabla 1 na 2 hujazivuka...ngoja kwanza aanze na hawa hawa waliochuja ili at least hao wakubwa wanaohit kwa sasa watambue uwepo wake...kisha naamini atafanya nao tu hao ambao wanahit kwa sasa huko mbele.

All in all,hizi collabo is for business purpose na exposure...tunaimba kiswahili,so ni vigumu sana kusimama peke yako kama solo ukitegemea siku moja mziki wako uje uuzike/usikike nchi za marekani na ulaya.
 
Mfano wimbo gani?
 
Kolabo na maveterani ndo sifa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani diamond anafanya collabo na wasanii zulipendwa
Zilipendwa? Omarion haishi. B2K imekufa ila Omarion bado anatoa hit songs. Tafuta track inaitwa POST TO BE feat Chris Brown hio ngoma imekimbiza sana mpaka sasa hivi ina 500m views youtube.
 
Wimbo gani toa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…