Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Mpaka mwakani Chibu atatuuwa na presha kama sio sukari.... Ila aliemuudhi huyu kijana akamwombe msamaha sio kwa spidi anayokwenda nayo, akitoka hapa next shooting na usher au french.
 
And entertainment is all about showbiz, yoooh
 
sioni ajabu as long as hao wakina rozi na omaria sio malaika ni jambo la kawaida


muda mwingine tuache kutukuza binadamu wenzetu
Huoni kuwa wanatukuzwa katika muktadha sahihi? laiti wangeenda kuwatukuza hao watu msikitini na kanisani hapo ndo ingekuwa tatizo...maana huko ndo sehemu sahihi ya kutukuza hao malaika uliowataja.

Mbona una fikra hafifu sana mkuu! huyo Mungu mwenyewe kamtukuza binadamu kuliko kiumbe chochote alichowahi kukiumba ulimwenguni...!
 
Uwiiiii. Mzee wa distance btn us[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Tanzagiza tulio wengi chuki na wivu ndivyo vilivyo tujaa mioyoni mwetu hatupendi na wala hatutaki tambua mafanikio na maendeleo ya wenzetu,tunaweza tusisikie lakini hata kuona hatuoni,maisha yanabadilika kwa haraka sana ,mwanzo tulitaka wanamuziki wetu wafanye mziki huu kimataifa .leo hii wanaojaribu kufanya hvyo na kuitangaza tanzania yetu tuna wapinga kwa mitazamo hasi kabisa isiyo na tija yoyote .mi nafikiri bado kuna kitu cha kujifunza .
 
Mkuu kwani kulano na vyone chakachaka inatoka lini..
Au atakua kwenye seduce you remix
sioni ajabu as long as hao wakina rozi na omaria sio malaika ni jambo la kawaida


muda mwingine tuache kutukuza binadamu wenzetu
 
mkuu hujanielewa lengo la ujumbe kwamba hiyo kolabo ni ya kawaida coz huyo rozi sio malaika kwamba mondi atatakasika thus y mwisho nikahitimisha tuache kutukuza wanadamu wenzetu nadhan umenipata
 
Wizkid na Davido wanapiga Collabo na wasanii wakubwa daily na hawakuwahi kufanya Collabo na hao "Wanamuziki wastahafu"....

Alafu tatizo la mziki wetu sio lugha mkuu wakina Koffi,Fally Ipupa wanatamba dunia nzima kwa kuimba lingala.
 
Wizkid na Davido wanapiga Collabo na wasanii wakubwa daily na hawakuwahi kufanya Collabo na hao "Wanamuziki wastahafu"....

Alafu tatizo la mziki wetu sio lugha mkuu wakina Koffi,Fally Ipupa wanatamba dunia nzima kwa kuimba lingala.
 
Mbona mipasho mingi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Diamond bila collabo= Zero
(0)
Kwa mnaofatilia mziki mtagundua hilo kua this time diamond can not stand alone.
Sasa hiv amekua ni mtu wa kuhangaika na collabo tu mbaya zaidi ananunua collabo kwa wasanii ambao kweny chat za billboard walishasahaulika.
Mashabiki wake hawalioni hili ndio maana wao kila kukicha utasikia Mond amecollabo na huyu mara amecollabo na yule.
Swali?
Uimara na ubora wa diamond unapimwa na kununua collabo nyingi?

Kwa hali mnayoiona sasa diamond anaweza akasimama peke yake na akatupa burudani kama anayotupa Dogo Aslay?
 
Uchawi sio lazima ushike tunguli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…