RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
-
- #121
Oh, okay. Zipo za aina nyingi, hasa materials zinazotumika na watengenezaji wa magari kwenye kuzifunika kwa juu. Zipo za plastic, leather, almunium, mbao etc.Sijui maana ya dashboard. Kuna dashboard za aina ngapi?
Nakuelewa sasa. Unajua pale mwanzoni mini nilidhani watu hawa wame-specialize kwenye vitu ambavyo vinatumia material ya nguo au ngozi. Sasa lilipokuja tena swala la dashboord likanipa shida kidogo kwa sababu ninavyojau dsahbooard haiwezi kutengenezwa kwa material hayo. Kwa ufafanuzi huu sasa nimekuelewaOh, okay. Zipo za aina nyingi, hasa materials zinazotumika na watengenezaji wa magari kwenye kuzifunika kwa juu. Zipo za plastic, leather, almunium, mbao etc.
Sema kitaani ukisikia dashboard, mara nyingi jamaa wanamaanisha pale kwenye mishale ya speedometer, rev counter na ile mingine ya mafuta na joto.
Tatizo la nyie jamaa ni Uswahili mwingi haujawatoka, hamuwezi kwenda na deadline mnakuwa sawa na fundi wa mtaani tu. I'm very disappointedMaisha ni kujifunza
Maswali yote ni muhimu
Dahsboard - ni eneo la mbele la gari kwa ndani( kuna ya juu Na ya chini), ni sehemu ambayo ni muhimu Na makini kwmeye gari...
Wale ma expert wa pale ni wakenya .....na wakenya wapo vizuri sana wametuacha sana katika modification za magari .......hata moshi gereji nyingi wamejaa wakenyaUkitaka kupimp waone riderking hutajuta mzee wa kazi,mimi nataka nipimp subaru yangu iwe V8 sijui nitawezana[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio maana kuna wengine wanasafiri kwa mabasi na wengine wanasafiri kwa ndege!Wana bei za uchumi wa kati na juu tu😂😅
Jamaa Wana Bei balaaBei ya kukomoana (si rafiki kwa 'WANYONGE') Nilienda na Nissan Patrol wanataka 1.5m nikatafuta fundi mitaa ya Mabibo akanishonea kwa 450,000
Noma sana nimewapa details za gari yangu mkeka umekuja mil 3.5Chukua fundi kitaa nenda nayo hapo safari achukue picha na Sample mkatengeneze myaani, hao jamaa wanakomoa Kwa vitu simple tu