Mkuu
mwanachondogoro kwa sababu ni wa kike, na kwa kazi nyingine hata akisomea mfano ufundi computer bado unahitaji upeo zaidi na itamchukua muda hadi kuwa competent na kukubalika sokoni!
Kwa mtazamo wangu yeye bado anasaidika, unachotakiwa kufanya ni kumkalisha chini na maadam amekuachia ww umchagulie cha kufanya basi mjenge kwenye kusoma ufundi cherehani lengo likiwa ajue ushonaji katika nyanja pana lkn pia ukimweleza kuwa lengo la yeye kusomea hiyo ni wewe kuja kumpa mtaji kwa maana ya kuwa na cherehani zake let say 4, mashine ya kudarizi na mashine nyingine zenyemkuwezeshankakiwandankadogomka udhonaji na ufumaji masweta ili aje aajiri watu watakaomsaidia kufanya kazi ktk kakiwanda hako.
Nina imani katika soma yake ata cope na wenzie hata kupata wasaidizi baadae itakuwa sio issue.
Hakikisha akiwa chuo wewe unafanya mpango wa kusajiri hiyo sijui niite garments au tailoring mart kwajina lenye mvuto kwa biashara hiyo na ili ijulikane kisheria hivyo mtaweza hata kufanya kazi zinazohusiana na ushonaji, ufumaji nembo, masweta etc kwa taasisi na kampuni kubwa na hivyo kukuza kipato mara dufu!
ningeweza kukupa idea zaidi namna ya kufanya hii kazi ila ndo muda wa mwajiri huu naomba nimtendee haki!
unaweza kuni-pm au uliza swali ntakujibu hapahapa jamvini!
Asante