Hizi St.Kayumba ni tatizo

Jaribu kujenga ukaribu naye kwasababu umesema alikuwa kijijini, so hajakuzoea,pia huenda akawa anakuogopa, au anatamani kurudi tena shule ila anaona kama anakuchosha kumgharamia
Mimi nakushauri jenga ukaribu naye, akuzoee baada ya hapo utajua nini anataka kwani atakuwa wazi kukwambia chochote anachojisikia,
Unaweza kumpeleka veta lakini huko nako akachemka kwani utahini wa veta nao ni mgumu, kwani wanatumia mtaala wa CBET ambao unataka mwanafunzi apate mark 100 ktk mtihani, so hii inaweza kumgharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…