carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
wanahusiana nini na huu uzi??Wanaume na dar bwana!!
Kwenda chuo ni success kwani mashoga zake wangapi hawajaenda?Sasa mkuu mimi huwa sielewi, mtu anaweka status kama hiyo, yupo chuo mwaka wa pilia anategemea boom, success gani sasa?
Utaskia"si bure umerogwaa,.. Kafanyiwe maombi"au "mi ndo kiboko yao, na bado"Mimi najua ya "Kill them with smile, burry them with success"
Mbona ya kawaida sana?
Acha ushamba wewe.
Mimi wanaonikera ni wale waswahili kutwa vijembe.
Aiseee kuna watu wana maneno hatariiii.
Inaweza kuwa matokeo ya mtihani yametoka na kapata GPA nzuri kama 4.5GPA ni success kwakeSasa mkuu mimi huwa sielewi, mtu anaweka status kama hiyo, yupo chuo mwaka wa pilia anategemea boom, success gani sasa?
Hahahaaaaa, mbavuNapenda Wavaa Vikuku sababu mi ndo jogoo Lenyewe, Nanyakua Vifaranga kama nina ukoo na mwewe
Sasa mkuu mimi huwa sielewi, mtu anaweka status kama hiyo, yupo chuo mwaka wa pilia anategemea boom, success gani sasa?
Kweli kabisa mkuu tena ni success lucrative sanaHata kuingia Chuo ni success eti