Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sitashangaa maana huyu muuaji, anaua hata vichaa. Iddi Amin alikuwa ana unafuu. Huyu ni muuaji, mwizi, mfiraji, mbakaji. Sijawahi kuona taahira kama huyo Samia.Nimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa?
Kugawa uroda?? Aisee. Usimchukie sana yule ni mkuu wa nchi na serikali.Huenda ni kweli mkuu si unajua huyu kichaa yeye kazi ni kuua, kuteka, kutesa na kugawa uroda kwa Chavayo
Si kweli.Haumshukuru kwa kuwatukana watu fulani kwa niaba yako?Hata akifa hana msaada kwangu JamiiCheck
Kwa kifupi wewe ni nani hapa Tanganyikakwa kifupi huyo nabii Tito ni nani, hapa Tanganyika
Uzushi yuko hai lokap anapakuliwa kwa raha zakeNimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa?
Ikumbukwe nabii Tito alimdhihaki MUNGU, Kwa kujiita ye MUNGU na yesu ni mwanae
ChaiNimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa?
Ikumbukwe nabii Tito alimdhihaki MUNGU, Kwa kujiita ye MUNGU na yesu ni mwanae