Hizi taa kwenye dashboard na huu mlio wa tahadhali vitakuwa vinaashiria Tatizo gani

Pia Mkuu hizo taa nyingine ukiachana na ya handbreak huwa zinajiwasha automatically unapoingia eneo la matope au hali ya mvua (kwa gari nyingi nilizotumia) ,, sasa sina uhakika kama ni tatizo hilo,, hapo kwa mtazamo wangu tatizo ni hiyo taa ya handbreak tu haitakiwi kuwaka endapo unaendesha gari.
 
Jiheshimu nawe utaheshimiwa. Heshima ni kitu cha bure.siyo wote walisoma tanzania.so dont act like a stupid child.

Huvi ndo lugha gani?

Tahadhali = tahadhari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
WAYALINGI=Wiring. [emoji23][emoji23][emoji23]

Haya kamanda...hivyo ndivyo inavyoandikwa kwa kimombo
 
Kama hukupata bado tiba hapo inamaanisha kwa maelezo yako kwamba huwa kuna mlio unatokea ni buzer ya brake hiyo gari brevis inatumia brake booster ya umeme so inamaana lazima ishaanza kuloose pressure hapo ndio maana hizo taaa zinawaka na huo mlio unatokea ukitaka kuamini juu ya maneno yangu washa gari harafu kanyaga brake kama raka kumi hivi utausikia huo mlio au wakati unaendesha gari uwe unakanyaga kanyaga brake kitatokea hicho kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…