Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

Mimi sijaoa najapokua umetubagua, , ila Nakushauri na lazima ushauri wangu uuchukue ,utake usitake.


Mwanamke akibeba mimba kuna mawili apende mbooo sanaaa au achukie mbooo sanaaa( sababu ya mabadiliko ya homoni)


Kwann??

Kwa sababu mwanamke anapobeba mimba kuna mabadiliko makubwa ktk kila mfumo wake wa mwilin,na zaidi ni
[emoji117] Mabadiliko ya kutokua na usawa wa homoni za Estrogen na progesterone
[emoji117] Kuongezeka kwa mzunguko wa damu maeneo ya Yote ya K na kuzunguka K. Nahii hupelekea Kisimi chake kua Sensitive sanaaaa, mashavu ya K kua yamotoo sababu ya Damu eneo hilo, pia Kunakuwepo naongezeko kubwa la Uzalishwaji wa Ute ute mzitooo wa kuvutika, Matiti yake yanavyozidi kukua nayo ndo yakua sensitive sanaa

Hii inamaanisha kua ktk miezi 6 ya mwanzo, wanawake wengi upendaa mbooo sana.na kwakua wanapenda MBOOOO, WATAKYPENDA SANAAAA SANAAAA TU MUDA WOTE ATATAMAN AWE NAWEE.


KWANN Inaokea hawapendi???


Mabadiliko hayo hayo ya homoni, uchovu wa mimba, Mawazo, kichefu, na maudhi yoooote ya kipindi cha mimba, kwa wengine huwafanya kabisa Wasitamani mboooooo , sasa siku nzima kashinda anatapika, Atapenda mbooo???..wengine huwa wanahofu huenda mbooo ikamuumiza mtoto, huenda ikaharibu mimba n.k ..

Wanawake hawa hawatopenda mbooo, na kwakua hawapendi mbooo, WATAKUCHUKIA SANAAAAA SANAAA TUUU....MUDA MWINGINE ATATAMAN ASIKUONE MACHONI HUENDA HATA AKAWA ANATAMANIA UFE TU.
 
Kubeba binadamu tumboni so jambo dogo....

Vumilia si bao lako hilo mjomba??????

Mimba zina mambo mengi.....


Yatapita tu
 
Umemaliza kila kitu...
Mkuu
 
Vumilia kaka, yamuda, tena uvumilie sana, yatapita na hutayakumbuka kabisa, ya kawaida sana, na ukumbuke si heri ya wewe hujaibeba! Je ungebeba? Tena miezi 9 na ushee, na kama una bahati hakuna complications! Acha tu, piga moyo konde yataisha, pole, and welcome to the club...
 
Wifi yetu tena...?
Hapana, mimi simo..... ni bora hata ungesema 'Shemeji yenu'.
Au huu uzi unawahusu wadada..?
 
Ninakumbuka nikiwa mjamzito,nilimchukia sana mkaka fulani,yule kaka hakuwahi kunikosea kabla lakini baada tu ya kupata ujauzito nilimchukia kiasi mahali alipo sikutamani hata kupita.
Hata ukiniuliza sababu ya kumchukia mimi mwenyewe sijui.Ila tu nilijitahidi nisionyeshe chuki kiasi akajua😂😂.Sikuwa ninapenda ile hali lakini nilijikuta tu simpendi,Baada ya kujifungua ile hali ilipotea

Pia mimba ikiwa hatua za mwanzoni,mzazi mwenzangu ndio alikuwa ana experience zile hekaheka zote.Alikuwa anatapika,kuna wakati anahisi kama Bp inashuka,Anajisikia vibaya vibaya tu muda wote
Wakati huo mimi niko fresh kabisa 😂
 
Ukileta uzi wa mashemeji tuambie maana hiki kikao wajumbe ni mawifi sisi mashemeji tunapita tu
 
Mimba zinaletaga mabadiliko makubwa sana hasa ikiwa na complications sjui kichefuchefu, kutapika, mwili kuisha nguvu, mwanamke akiwa ivo sidhani km anaweza kupenda sex kuna muda anatamani ata mumewe asafiri miezi wasionane kabisaaa Ila KUENDEKEZA BAADHI YA HALI NI KUBAYA...mengine inatakiwa mwanamke mwenyewe anajitaidi kuyashinda kupunguza kero kwa mwenzie
 
Hizi mimba zinaletaga sana vituko.Kuna jamaa kila siku alikuwa ana kazi ya kununua Malapa,kila akirudi kazini anakuta mkewe mjamzito ametafuna malapa
 
Wanaigiza hao mkuu amini njoo uone singo mama wanao jifungulia kwao hawana hayo mambo.
Hiki kitu huwa kinanishangaza au TUNAIGIZIWA NINI?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yeaah hii imekaa KIROHO ZAIDI.


ukitaka uhakika wake, Muulize Mama aliyefiwa mwanawe ivi""" Siku mwanao kabla ya kufariki ulikua unajisikiaje"""


Utasikia ,yaan siku hiyo ,niliamka sio kawaida yangu, mwili ukawa unaumaa, tumboo likawa linauma sana, uchovu na mfadhaiko mwingi ..baadae ndo nikapata taarifa za Kuondokewa na mwanangu..


Wanadamu katika Uzao mmoja wa Damu wameunganishwa.


Ndio sababu nawee ulikua fresh, lkn mwanaume ndo akawa anajisikia ovyoovyo



Wanaposema, Usizin, Usifanye uasherati. Maana yake, ni kupeusha kubeba Roho za wengine, nakuziingiza kwako mwilin na ndani



Sema pale kati ni patamu ..tutafanyaje sasa ndug zangu [emoji23][emoji23][emoji23]?

Nasema uongo?
 
hii ya mwanaume kujiskia hzo dalili sjawahi kuielewa inakuaje asee[emoji1][emoji1][emoji1]
 
umemaliza kila kitu mkuu😂😂
 
Ujauzito ni mtihani kwa wake zetu na ndio kipindi ambacho uvumilivu wa mwanaume unatakiwa uwe juu kuliko kipindi chochote kwa manufaa yako na familia yako........ni kipindi cha mpito.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…