Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

Hahahahaaa.

Ngoja nicheke kwanza kabla sijaanza kusoma huu uzi
 
Mimba zinakuja na visa tofauti nakushauri ndg yangu mkurya kuwa mpole tu hali yake itarejea hivi karibuni mimba ikifikisha miez 7 au 8 atakuganda mpaka utaona kero tenaaa
 
Mimi nilikua kila nikirudi kutoka kazini wimbo wake ulikua nikifa nizike pale kwenye mgomba na ukiangalia anapo pasemea hapana migomba , nikaona isiwe kesi nikamwachia ela ya kutosha ya matumizu nikaenda kijijini bila kumuaga naenda wapi kwa wiki tatu amini na kuambia nilipo rudi sikuamini kama ni yeye kabadilika vile maana alianza kuampole ila kuniagiza mavitu ya ajabu ajabu niwe na mletea nikitoka kazini ndio hakuacha but haikunipa shida kama ile ya nikifa ni zike pale kwenye migomba..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi alikua ananibebea kisu, ikiwa na miezi 7 niliondoka nikamwacha mpaka ajifungue, ila ndio ikawa moja kwa moja.
 
Mimi Mchumba wangu ni Mjamzito, Kila mwez tunagombana ....last time tumegombana asubuh nikampigia simu hajapokea...inakata wiki sasa sijapiga tena simu na wala hajantafta...na sitomtafta mpaka atakaponitafuta
 
Vumilia tu sio yeye huyo, mpe ushirikiano, akijifungua atakuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…