Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Mwananyamala Kisiwani Kwa Kidile tuna kero yetu ya takataka, zimekusanywa sehem ya makazi, zina wiki sasa kiasi kwamba funza na wadudu wengine wameanza kusambaa
Bila shaka tunapoelekea kupata maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu. Mamlaka zinazohusika zipo tu zinaona kinachoendelea na kupita eneo hilo kama hawaoni kinachotokea