Elections 2010 Hizi takwimu ni sahihi?-Chadema Zanzibar

Tatizo nini sasa??mi sijagundua kitu bado...halafu data naona zimepalaganyika..ila kwa nilivyoelewa CDM ina kura 5633 na ina percent 83.17, so ndio kashinda!!au kuna ishu nyingine hapo??
 
Tatizo hakuna mbunge wa Chadema aliyeingia bungeni toka Visiwani kwa kupigiwa kura au mwenzangu unamfahamu?
 
Back
Top Bottom