Tatizo nini sasa??mi sijagundua kitu bado...halafu data naona zimepalaganyika..ila kwa nilivyoelewa CDM ina kura 5633 na ina percent 83.17, so ndio kashinda!!au kuna ishu nyingine hapo??