Hizi team za Singida zina shida gani eti?

Mwigulu akipata pesa zinafufuka, akiishiwa zinakufa, magufuli alipokata mrija singida ilijifia kifo cha mende
 
Kabisa mkuu na ukiangalia vizuri ni kwamba hawana plan yeyote ile ya maana
Mimi ninahisi muanzilishi wa hizo timu anamichezo michafu ya utakatishaji fedha , sema nchi yetu ndo hivyo haiko seriously lkn .......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…