Uchaguzi 2020 Hizi teuzi na tengua ninazoweza ziita kuwa ni za "vurugu mechi" za Rais Magufuli zinaipeleka wapi nchi yetu?

Nadhani Rais yupo sahihi sana...Just imagine wew ndo unaendesha nchi na umeteua watu wakusaidie kazi alafu muda huu wako radhi waachie ngazi wakatangaze nia na idadi ni kubwa bila kufanya hivyo nchi ingesimama na nina imani baada ya uchaguzi wa kura za maoni na mkuu watu watakuwa serious sasa.
 
Mkuu ni vizuri ukajiuliza kwanza kuwa kwanini safari hii watia nia wengi ndani ya CCM ni wale wateule? ni wale akina "Ndiyo mzee? ni wale ma MC wapambaji wa sherehe majukwaani? kwanini wasitoke ktk muhimili wa Mahakama au Polisi etc//
Hapo kunaacha maswali mengi, yanayokosa majibu
 
Mliruhusu, wengine wachukue, mbona membe alitia nia mkamfukuza chamani?
Umesema kweli kabisa..........

Mbona wao wa Lumumba, walichapa fomu moja tu ya mgombea Urais, ambayo ilikuwa ya Jiwe peke yake?
 
Migambo wanaruka na kukanyagana..
Mkuu waache wapunguze rushwa na takrima walizopewa ili octoba "tuwanyorose" huku mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…