Hizi thread hua zinaniondoa kwenye mood completely, yaani jumlajumla

Hizi thread hua zinaniondoa kwenye mood completely, yaani jumlajumla

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
334432.JPG
 
Dah kumbe sio mimi tu, peke yangu, sometimes natamani hata nisifungue jukwaa la siasa, naona habari ninazokutanazo ni za kuhuzunisha na kusikitisha

Stay safe my people, we shall overcome by Grace of god..
 
Peace, round about ya kuelekea Makumbusho kuna maiti iko pale tangu mchana, askari wamekuja wameuacha mwili, wahusika wa corona walisema wanakuja ila mpaka saa 4 usiku naondoka pale hakukua na wahusika waliokuja.

Hizi tanzia acha ziendelee zije.
 
Imekuwa kero kila kifo kinaripotiwa.
 
Kwakweli hata mimi haya matangazo yananiboa na sioni umuhimu wake kwa kipindi hiki. Unapita huko kuokoteza taarifa za vifo unakuja kutangaza humu ili iweje sasa? Ikitokea wakafa zaidi ya 1000 kwa siku kama huko Marekani bado utatangaza?
 
The same to me

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Back
Top Bottom