Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Kama wewe unavyoongea uliyoyasikia kutoka kwa Polisi na sio ukweli kutoka kwa Kabendera mwenyewe na siku ukijua ni uongo akili itakukaa sawa
Ubaya Ni kwamba wanao mtetea kabendera wanaongea walicho ambiwa sio wanachokijua wakijua, ukweli akili zitawakaa saw
 
Magufuli anajikwamisha mwenyewe hakuna wakumkwamifmsha, hivi kwa nini Wafrika mkifwli jambo mnasingizia wazungu??

Kwani wazungu ndio wame implant wasiojulikana??
 
Ifike muda mtambue sasa kuwa watanzania siyo wajinga.Pia Tambueni Mungu ni Mungu wa haki,na uvunjifu wa haki unapofanyika ni kupigana vita dhidi ya haki (Mungu) na Mungu hajawahi shindwa hata Mara Moja. Leo mnawezaona kana mnashinda vile,lakini Siku ya kushindwa kwenu ikifika mtajuta lakini hamtahurumiwa
 
Kukosoa ni sawa lakini kukosoa sababu umelipwa, huo ni umamluki.
 
mbona umekwama kada mtoto?? umesema mambo mawili 2 muhimu.. nikisoma hapa hakuna hata moja uliloongelea zaidi ni umbea na unafikuna.. vipi kuhusu uraia? mmekalia umbea tuuu... babaenu akielezwa ukweli mnasema anahujumiwa.. shwaini kweli nyie
 
Tatizo hapa sio ka_flag,Bali ni mtu kutokupenda kusikia/kuambiwa ukweli! Unaitwa mzushi/mchochezi.
 
Hebu tuorodheshee mambo ambayo huyo kabendera anamhujumu jiwe!
 
Alikuwa anapokea million 200 kwa mwezi sasa ilikuwaje miaka yote hiyo apatikane na 187 million tu
 
na wengine wanaharakati uchwara - Sipriani Musiba
 
Mbona na mimi namtetea kabendera popote pale na sijalipwa chochote awamu ya Tano imekua ikitumia mwavuli wa maendeleo kuwambambikia kesi na wengine kupigwa risasi kwa madai ya kwamba wanaokosoa Serikali wanakwamisha maendeleo hiyo imekua ni propaganda ya kitoto sana
 
Na wewe unaonekana unalipwa posho kutoka upande huo unaoutetea!! Andishi lako halina mashiko, umetupotezea muda.
 
Mbona unakuwa mwongo hivyo? Charge sheet ya Erick imetaja kosa la uraia? Hii yote inaonyesha nia ovu mliyonayo kwake.

Awali Polisi walikanusha kumkamata, kesho yake wakakiri kumkamata wakisema wanachunguza uraia wake, wakati suala la uraia lilishafungwa tangu mwaka 2013.

Lakini kwenye mashitaka matatu la uraia halimo. Huu mkanganyiko wote wa nini?

Halafu unasema anamhujumu Rais, mbona halimo kwenye hati ya mashitaka? Unaweza kuthibisha mahakamani kuwa amemhujumu Rais?

Acheni roho mbaya
 
Mbona naona umekomaa na fedha za watu na kusahau uraia kama ulivyogusia utazungunzia mambo mawili.
 
Kama ndo hivyo basi mtakuwa mnaogopa vivuli vyenu...!!
Kama kweli mnafanya kazi na zinaonekana... ni kwa nini muogope kiasi hicho?
Kwa nini mlazimishe watu wafikiri, kuona na kufanya mambo kwa jinsi mnavyotaka nyie...?
What are you...?
Muhimu kujua kwa sasa ni kuwa mnazidi kuwatengeneza wapinzani wengi sana ndani na nje ya chama/nchi...!
Mahakama; mahakimu; magereza hayatatosha...!!
 
Troiker,Nakushangaa kwamba haya uliyoandika nahisi sio ya kweli kwa sababu zifuata.

Wewe tunaweza kukuita msaliti namba moja wa Nchi yetu na ulitaka na ulisupport kwa asilimia mia kumhujumu Rais.Pia inaonyesha wazi kuwa ulikuwa na wewe ni mmojawapo katika kupokea mgao.Picha iko kama vile kuna mahali hamkuelewana ukakatiwa nje ukatengeneza hii habari kwa bifu zako.

Nashangaa ni kwa nini mpaka sasa hujakamatwa na polisi kuunganishwa na Kabendera kwani inaonekana wewe una taarifa nyingi za kutosha na za kusaidia kupata ukweli wa mambo haya,kama uliyoandika ni ya kweli.

Nimekuita msaliti kwa sababu taarifa hizi ulikuwa nazo siku nyingi hata kabla huyu bwana hajakamatwa.Ulikaa kimya bila kuripoti popote,ina maana kama ni kulipuliwa tulishalipuliwa siku nyingi.(Ndio usaliti wenyewe huo) Baada ya kusikia kakamatwa ukalipuka.Nahisi unatafuta Kiki fulani.Tutajua tu.

La sivyo hii taarifa yako ni ya kupika kutafuta umaarufu ama nenda mahakamani kato ushahidi.Kumbuka "Usimshuhudie mwenzako uongo"
 
Mamishale ,umeingia may mwaka huu jukwaani,najua uko kwa kazi maalumu,waambieni za vocha hazitoshi mnamahitaji mengi,na kazi mfanyayo ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…