Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

KABENDERA IS NOT GUILTY UNTIL PROVEN IN A COURT OF LAW
 
Pumbavu mkubwa . Bila Shaka we ni mtoto wa kahaba
Hivi kwa nini wengi wetu pale penye chembe ya ukweli povu linatutoka???
Jamani, Hili ni Jamvi la 'Those who dare speaketh' hivi kwa nini hatuendi na nguvu za hoja badala ya kukashifiana??? Kwa wale wenzetu ambao hawawezi kustahamili naona ni bora warudi huko kwenye sura ya vitabu.
 
Sasa ushahidi wote huu upo wamuhukumu maramoja tuendelee na mengine jamani, garama za kumleta nakumrudisha mahabusu, garama za kumtunza mahabusu zinarudi kwetu mweee.
 
Hiyo ni tetesi au fake news!
 
Graduated crap why now? Free Kabendera achana na utetezi wa uongozi mbumbumbu.
 
Sijaisoma yote, inatia kichefu chefu; achene uongo, hakuna anae lipwa kwa kumuandika vibaya kiongozi yeyote humu, huo ni uongo. Kuna mtu kaandikwa vibaya kama JK kwenye mitandao ya kijamii? Nani alikua anawalipa wale watu? Siungi mkono kiongozi yeyote kuandikwa vibaya lakini pia binafsi sipendagi mtu muongo muongo; hili ulilolisema ni wajinga tu ndio wanaweza kuliamini. Hivi kwanza unaweza ukawa unaingiziwa Dola 9500 kwenye account yako na BOT wasihoji? Acheni hizo bhana, Kabendera issue yake imebuma, mwachieni kijana wa watu. Hata issue ya uraia, mama yake Kabendera yupo, kwanini asikamatwe yeye kwa kuajiriwa muda mrefu kama mwalimu ilihali sio Mtanzania? NI aibu kumkamata mtoto wakati moja kati ya wazazi wake wapo; hili jambo iwe isiwe linaitia AIBU na kulitia doa taifa.
 
Haya mapovu yenu ni kithibitisho tosha mnapewa za vocha na mleta uzi kutufumbua
 
Na wewe unayelipwa kwa kodi zetu sisi masikini kuja kutetea ujinga huu huku mitandaoni unajiona ni mzalendo?kama huyo bwana ana makosa hayo kwa nini asipelekwe mahakamani kuliko kumshikilia?
 
membeee, membee, membee 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…