Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Stori nyepesi namna hii, isiyo na mashiko haiwezi kumshawishi yeyote yule. Rudi nyumbani na kasuke upya uzi.
 
Vijana wa lumumba ni wapuuzi sana, pia wanajikuta wao ndio wazalendo nchi hii wengine fucken tu.
 
Huyo Mungu mnaemtaja ktk uovu wenu ulojificha sku 1 mtamjua
 
Unaona ajabu sana wewe kapuku?,huo ni mshahara wa expart mmoja tu,
Sasa hizo pesa gawa kwa watu 100
😀 😀 😀 😀 Kwenye hiyo queue ya makapuku wenzio mimi sipo. Idiot!
 
Kwa hiyo ulitaka aishi maisha duni mpaka anakufa? Huna hoja ya msingi
 
Baba muongo wewe. Kukwamisha juhudi aaaaaah magu anakwamishwa kweli?
 
Unapoke shilingi ngapi kwa mwezi kwa kazi hii? Elf70?!! Get a life son.
 
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla
Kweli tulipita kipindi kigumu sana. Huyu mjinga troiker alikuwa anamuombea shetani Magufuli mwaka 2019. Kiko wapi sasa? Pumbavu kabisa
 
duh
 
Huyu Kabendera wangekata mlingoti tu...



...Ni Hayo Tu!!
 


Aione Kebendera.
==============

Huyu Jamaa alivurugwa na Kikwete hasira zake akaelekeza kwa Magufuli. Itoshe, kama muktadha unavyoeleza, mabeberu walitumia nafasi hiyo kumuachia maburungutu kama kumliwaza na baadae kumtumia¿

==
 
Mlijipa mamlaka makubwa ya kuamua nani aishi nani asiishi that was the big mistake
Fafanua.

Alipataje hayo Mamlaka na kwa Sheria gani?

Nyie ndii hao Vibendera vyenyewe.

Mamluki na Vibaraka wa Mabeberu.

Wacheni Uongo.
 
Fafanua.

Alipataje hayo Mamlaka na kwa Sheria gani?

Nyie ndii hao Vibendera vyenyewe.

Mamluki na Vibaraka wa Mabeberu.

Wacheni Uongo.

Mlikosea kuingilia Kazi ya Mungu

Universe ikaamua kuwapa adhabu kubwa ambayo hamkuitegmea


karma

You can't sacrifice someone's life for your life because there's karmic debt has to paid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…