Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Umeandika takataka. Hivi huoni aibu kutoa pumba zote hizi hizi mbele ya watu wenye maarifa?
 
Kamuombee wewe na familia yako , wengine tunatamani hata huko aliko kama kuna ziwa la moto aingizwe mapema.
 
Mlikosea kuingilia Kazi ya Mungu

Universe ikaamua kuwapa adhabu kubwa ambayo hamkuitegmea


karma

You can't sacrifice someone's life for your life because there's karmic debt has to paid.
Unazunguka zunguka tu

Mara Tulimpa, mara kazi ya Mungu Ipi ni ipi?


The people who sacrificed Tundu Lissu are the ones to pay.

Huyo mungu wenu ndie shetani mwenyewe.

=====

Fafanua kuhusu hayo mamlaka unayodai Wananchi walimpa?

Kwa Sheria gani?

Na Ujiulize Binadamu huwa anaingilia maamuzi ya Mungu?
 
Uongo mtupu!

For what I know hapo BoT kuna kitengo cha FIU yaani uniambie huyu mtu alikuwa akiingiziwa $95k na hao jamaa wanaziacha zinapita kirahisi tu?

Halafu tuhuma za Magufuli kusema anakwamishwa hazikuwa na tija maana alisema yeye hasikilizi wala kuogopwa kuandikwa mitandaoni rejea siku aliposhindwa "kumtumbua" Makonda baada ya kelele za mtandaoni na tukio la kuvamia Clouds media.

Tukianza kufanya scrutiny ya Magufuli na uadilifu wake basi tuanzie tenda za Mayanga constructions na pay master general wa wakati huo ambaye ni mtoto wa dada yake anayeitwa Doto James tukianzia hapo itakuwa mwanzo mzuri kupima the so called uzalendo wake.
 
What you sow you shall reap

Mambo yote unafanya lazima upate malipo yake now or later .

So don't complain about anything hiyo ndo karma inavyofanya kazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…