Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Umeandika kama mwanamke mwenye wivu
 

Hahahahaaa.. Soo predictable.
 
Lengo lao kubwa ni kuhakksha Rais anapoteza imani kwa wananch wake na hadh yake ya urais inayeyuka na baadaye anawekwa mtu wao.
Hii kali...Rais apoteze imani kwa wananchi halafu hadhi yake eti ndiyo iyeyuke! Kwa nini asiwatumbue tu hao wananchi na kuwateua wengine?
Mlinzi wa Kweli ni Mungu watanzania tuzidi kumuombea JPM wakwame wao kabla.
@troiker, kama hii ni kweli je wale walinzi wote wa nini? Kumbuka Mungu hadhihakiwi...!

Somo: Washamba na limbukeni taabu tupu!
 
Umekiri kua kuna NJAA, rekebisheni mifumo pesa iingie mifukoni mwa watu, nyie mnakula nchi eti ndo uzalendo,
 
Mtoa maada ni mpumbavu mwingine naona yaleyale ya Lissu yanajirudia kuwa huyu a.e unuliwa na mabeberu,msaliti,sio mzalendo nk,
Ondoa upuuzi wako hapa
 
Upuuzi mtupu.

Mara tulimkamata kutokana na malalamiko ya mkewe, mara tunamhoji uraia wake, mwisho utakatishaji fedha. Watanzania wasifanywe hawana akili. Ujinga bakini nao wenyewe kama mnaona unawafaa.

Mara tena upelelezi haujakamilika. Mleta mada ana ujinga ambao anadhani anaweza kuwapata wa kushirikiana naye. Baki na ujinga wako.
 
Huyu ni Lemutuz aise, Mwandiko wake naujua..hahaha [emoji23]
 
Hivi mtu ukiwa unatabia ya kujiharishia kila mara, halafu kukatokea mtu anaandika hiyo tabia yako ya kujiharishia kosa hapo linakuwa la nani? Ni la mwenye kujiharishia au mwandishi.

Ebu jaribuni basi kutunga uongo unaoendana na ukweli, mwanzo mlisema hamjamkamata, baadaye mkakati, mkasema mnahoji uraia wake, mashitaka yakabadilika kila siku, mwisho mtasema kambaka mke wa mtu.
 
Mnakopy habari za kutunga za taahira mwenzenu kule twitter mnaleta huku. Hovyo kabisa
 
Tuhutuma ýa pili kama sjasikia vile inayohusu uraia wa ndugu kabendela, au na wewe ni kama vijana uwasemao ya kwamba wanatumika bila kujitambua
 
Mimi nafahamu organization ambazo Kabendera anafanya nazo kazi, kwa taarifa tu ni kuwa he hardly present tra receipts.
Pia wengi humu mnamjua Kabendera Kama mwandishi wa habari na sio consultant.
 
This is totally nonsense

We umejuaje haya ya nyuma ya pazia??

Acha utoilet paper weweee
 
Ngoja sheria ichukue mkondo wake ndo tutaelewana
 
Kuna haja ya serkali kuanzisha somo la uzalendo kuanzia level ya primary hadi chuo kikuu na liwe la lazima na ingependeza lifundishwe na wanajeshi.
 
Acheni kutapatapa,
Unasema kila mwezi alikuwa anaingiziwa 200 Million kila mwezi sijui kwa miezi mingapi ila kwenye mashtaka jamaa anatuhumiwa kutakatisha 170 million I.
Huoni ulivyojichanganya?
Kuhusu uraia wake unataka kudanganya mini?
Hakuna dhambi mbaya kama kumshtaki mtu kwa uwongo.
Mahakamani DPP kasema upelelezi haujakamilika inaonekana unaushahidi so uende ukautoe ili haki itendeke.
Inakuwaje mtu 1 anatuhumiwa kuendesha genge ambalo halijulikani , this is realy malicious prosecution
 
ID mpya kazini kuandika upupu

Hivi mahakama imeshamuhukumu au uzuzu wenu tu ndo umehukumu?
 
Ubaya Ni kwamba wanao mtetea kabendera wanaongea walicho ambiwa sio wanachokijua wakijua, ukweli akili zitawakaa saw
Kama wewe unajua ukweli nenda katoe ushahidi ili ukamilikè mapema na haukumiwe haraka kwa maslahi ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…