Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Acha kuchanganya files wa sababu za Mke sio huyu
 
Mkuu polisi wao wanasema ushahidi haujakamilika vipi wewe umetoa wapi evidence kabla ya polisi? Au na wewe kuna mlango umepitia baada ya kupewa vibuku Fulani kutuaminisha ya polisi. Kama wewe kiherehere una nyepesi kiasi hiki iweje polisi washindwe kupata ushahidi mapema. Nchi imevamiwa hii, tunawasoma tu
 
Kweli CCM imejaa mabwege. Huu utumbo wa Nzi peleka huko jalalani, hebu weka hadharani makosa ya Kabendera achana na hizo porojo ulizotumwa na Katibu wa tawi.
 
Kwahiyo kabendera ni raia au sio raia


New ID
 

Tiss nonsense
 
Kama Kabendera amelipwa kuandika kuhusu serikali na alichoandika ni ukweli/uongo sioni shida. Tuache propaganda za kijinga. Tuiache mahakama ifanye kazi yake!
 
Sio vizuri kuongelea kesi iliyopo Mahakamani unaweza kumsaidia mwenye kosa kuto kuhukumiwa. Wana sema umeisha muhukumu nje ya mahakama.
Naomba moderators watuelimishe kwenye masuala yalio mahakamani vitu vya kuandika na visivyotakiwa kuandikwa
 
Tutajuaje kama unazungumza ukweli hapa?
 
Takataka ipeleke mahala pake
 
Kama ndivyo Muna mshauri meko aiseee Muna mpoteza lakini nakuomba baada ya kudili Erick kabendera nakuomba umuangalie kwa ukaribu sana cypriasi musiba huyo ndio bomu hafai hipo siku ata hawaribia kuliko munavyo fikiri ngoja atengeneze kiki starter tu nayo sisi
 
Ushauri wangu tuendelee kumwombea rais wetu,Ili hawa maajenti wa mashetani wasitutoe kwenye Mada yetu kuu ya kuwaletea wananchi wetu maendeleo ya kweli
 
Hizi ni porojo, sasa kama alikuwa anaingiziwa USD 95,000 kila mwezi mbona mmemshitaki kwa kutakatisha TSH 173M peke yake. Ukitaka kuongopea watu uwe na kumbukumbu. Huu ni ujinga tu
 
Sasa kama ushahidi wa hayo mnao mbona mnasema upelelezi haujakamilika?
 
Episode ya ngapi hiv?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…