Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

Kacopy na kupaste
 
Namba 2 je?
 
Maraisi wengi wamepita Tz, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete..

Kwanini hivi vikundi vijitpkeze awamu hii? Je raia hawamkubli Raisi, Je Raisi ana maadui wengi ndani na nje ya chama chake kutokana vitendo na Siasa zake za ndani na. Nje ya nchi?!!
 
Kuna watu wanalipwa pesa nyingi kumtetea raisi wengine wanaongwa vyeo...kwa mema,anayojinasibu kayafanya katika mazingira ya kawaida hakutakiwa kuwa na hofu ya kuchafuliwa na mtu mdogo kama kabendela,itell u ni asilimia chache sana walimfahamu kabendela achilia mbali makala alizokua akiandika.
 
 
Hahahahaha praise n' worship team pole sana broo...kalambe buku 7 yako fastaaa...
 
Nasubiria point ya pili [emoji848]
 
Upuuzi umasikini ni sifa kuukwa wana ccm.Kwa hiyo Messi Ronaldo wanaolipwa usd 500000 kwa wiki nao wanatumiwa???
 
Vijana wa makonda sijui wanakwama wapi?kama una ushahidi wa wanaowalipa hao waandishi si uwatahe?
Na dai la uraia mbona polisi wamelikataa?
 
Sio rahisi kufanya hivyo kama ulivyoandika.Kuzuia nchi kukopa katika taasisi za kimataifa kunahitajika sababu kadhaa tena kubwa.Haina maana kwakuwa wao ni mataifa makubwa basi kila kitu wanaweza kukifanya tu.
 
Kama hiyo ndo sababu basi ni dhahiri jamaa hana kosa...

Hakuna anayemhujumu JPM yote yanayosemwa dhidi ya serikali yake ni ya wazi na dhahiri yanatendeka kila mmoja anayaona.

Ama kuna lipi ambalo serikali inazushiwa????
Serikali inazushiwa kwamba hakuna vhochote ilichokifanya kufikia sasa.Je,huo sio uzushi?
 
Baada ya kunyimwa Tenda na serikali ya awamu ya 5 kampuni 3 za kibeberu kutoka kwenye mataifa yenye nguvu yalianzisha jitihada za makusudi za kumkwamisha Rais JPM na Kuchafua taswira nzima ya serikali yake.
Kama umeweza kumtaja "Kibaraka wa Mabeberu", nini kinakufanya ushindwe kutaja hizo kampuni 3?

Tatizo majitu majinga aina yako yanadhani Kabendera kaanza kuandikia The Economist awamu ya 5 wakati hata enzi za JK Kabendera alikuwa anaandikia The Economist.
 
Kupenda Shilawadu ni suala binafsi la mtu.Kwahiuo ukishakuwa Rais ubinadamu unakoma?
 
Umeandika uharo mtupu,awamu hii imejaa washamba,wajinga,vilaza mnataka kusifia tu mkikosolewa ni mabeberu wametuma watu.
Pambaneni na kuwapa watu kesi za ML na mauaji ndio mnaweza hamna jipya
 
Propaganda za kitoto hizi level ya akili za Musiba
 
Amen...na wanakwama kwelikweli Mungu mkali sana.
 
Sikulazimishi uamini. Wewe ndio reasoning yako ina shida. Sijataka kutaja kiundani background yake na aina ya shughuli anazofanya ambazo zimempa exposure kwa hizi NGOs. Na unadhani tegeta alikuwa anapanga nyumba ya kawaida???? Au unadhani anajenga nyumba yake ni ya kawaida?? He is not your ordinary man na ndio maana walimtafuta; a very bright and ambitious individual. Lakini wamempa finance tangu 2016 haya mambo hayajawa public hivi. Na publications zipo na huwa zinaniumiza sana kwa sababu najua kinachoendelea. Hajawahi kukiri moja kwa moja tena baada ya hapo lakini kwa mabadiliko ya ghafla ya maisha yake na aina za publications zake nikajua alikubali kufanya nao kazi. Kiukweli hili jambo limekua linanifikirisha sana. Sijawahi kutoa any comment kwenye hili jukwaa huwa napita kimya kimya coz humu watu wengi huwapo objective wana ushabiki zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…