Hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kuichafua na kupanda mbegu ya chuki kwa mashabiki wa Simba dhidi ya Serikali

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.

Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.

Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.

PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
 
Na nyinyi mshataka kujifanya wakubwa kuliko nchi? kushindana na mamlaka.60% hata uwanja wa mpira hamna. Unajuwa hili ndio lilimponza marehemu Manji wakati yupo ndani washabiki wa Yanga wakawa nje wanalifuta gari lake. JPM akasema IGP upo wapi? hawa wanaojifanya na uchungu wa kufuta gari tia ndani wote siku ya pili hakuna hata mmoja alienda kufuta gari, Manji akijuwa ana watu nyuma wengi Yanga basi walikotokemea wanajuwa wenyewe na Manji akajuwa rangi halisi ya mamlaka.
 
Hivi kwann Mtumishi wa serikal iunajitoa ufahamu namna hii,tunamuomba Mama Samia atuondolee mtu huyu
Kosa kubwa Rais akimuondoa mkuu wa mkoa kwa sababu ya kushabikia Pamba, yes yeye mkuu wa mkoa wa Mwanza lazima atetee team ya mkoa wake shida iko wapi? akisema amtoe mkuu wa mkoa basi nitajuwa Mama ni dhaifu. Kosa gani kalifanya mkuu wa mkoa kubwa? ukihatarisha usalama wa eneo haijalishi wewe nani hakuna aliye juu ya sheria.
 
Hapo vip!

Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.

Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.

Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.

PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Jamaa integrity yake is questionable, anakubali kutumia kwenye vitu vya hovyo mfano mzuri issues ya RC No Wander alipambana mno ku distort justice.
 
Mtanda anacheza na moto
Awe makini sana huyu RC Naona hazi jui hizi team na nguvu yake kwa umma.

Mpaka sasa ameandikwa vibaya mitandaoni, angekua RC dar angepata tabù mapemaa.

Muige chalamira,amepona sababu ya haingilii hizi team.

Makonda zilinipa tabù baada ya kuonyesha wazi yeye ni simba.
 
Ngoja tumalizane nao kwenye pitch, then tutajua cha kumfanya huyo RC, lazma aliwe ndogo, kwan ye nan..?
 
Hapo vip!

Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.

Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.

Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.

PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Hata mkiichukia serikali hamna chochote mtafanya
 
Kosa kubwa Rais akimuondoa mkuu wa mkoa kwa sababu ya kushabikia Pamba, yes yeye mkuu wa mkoa wa Mwanza lazima atetee team ya mkoa wake shida iko wapi? akisema amtoe mkuu wa mkoa basi nitajuwa Mama ni dhaifu. Kosa gani kalifanya mkuu wa mkoa kubwa? ukihatarisha usalama wa eneo haijalishi wewe nani hakuna aliye juu ya sheria.
Hutetei team ya mkoa kwa kutumia resources za serikali kufanyia figisu team zingine. Ni upumbavu Na ujinga
 
Hapo vip!

Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.

Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.

Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.

PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Eti mashabiki 40m unaumwa wewe si bure.
 
Back
Top Bottom