Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Na nyinyi mshataka kujifanya wakubwa kuliko nchi? kushindana na mamlaka.60% hata uwanja wa mpira hamna. Unajuwa hili ndio lilimponza marehemu Manji wakati yupo ndani washabiki wa Yanga wakawa nje wanalifuta gari lake. JPM akasema IGP upo wapi? hawa wanaojifanya na uchungu wa kufuta gari tia ndani wote siku ya pili hakuna hata mmoja alienda kufuta gari, Manji akijuwa ana watu nyuma wengi Yanga basi walikotokemea wanajuwa wenyewe na Manji akajuwa rangi halisi ya mamlaka.Hapo vip!
Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.
Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.
Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.
PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Kosa kubwa Rais akimuondoa mkuu wa mkoa kwa sababu ya kushabikia Pamba, yes yeye mkuu wa mkoa wa Mwanza lazima atetee team ya mkoa wake shida iko wapi? akisema amtoe mkuu wa mkoa basi nitajuwa Mama ni dhaifu. Kosa gani kalifanya mkuu wa mkoa kubwa? ukihatarisha usalama wa eneo haijalishi wewe nani hakuna aliye juu ya sheria.Hivi kwann Mtumishi wa serikal iunajitoa ufahamu namna hii,tunamuomba Mama Samia atuondolee mtu huyu
Jamaa integrity yake is questionable, anakubali kutumia kwenye vitu vya hovyo mfano mzuri issues ya RC No Wander alipambana mno ku distort justice.Hapo vip!
Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.
Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.
Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.
PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Awe makini sana huyu RC Naona hazi jui hizi team na nguvu yake kwa umma.Mtanda anacheza na moto
Hata mkiichukia serikali hamna chochote mtafanyaHapo vip!
Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40.
Niwambie viongozi wanapo iyona Simba wajue, Simba ni wananchi ambao ni takribani asilimia 60 ya nchi hii na sio wale wachezaji wanaokuja uwanjani.
Pia anajue Simba ilikuwepo kabla ya nchi hii haijazaliwa na yeye pia ameikuta Simba.
PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
Hujui kitu Simba na yanga,zinanguvu kubwa sanaHata mkiichukia serikali hamna chochote mtafanya
Kwenye mitandao kila mtu ni baunsa, mlimshindwa Mangungu mpka leo mmefyata mkia mkija huku kelele kama vyuraNgoja tumalizane nao kwenye pitch, then tutajua cha kumfanya huyo RC, lazma aliwe ndogo, kwan ye nan..?
Simba na yanga mtaipindua CCM madarakani?Hujui kitu Simba na yanga,zinanguvu kubwa sana
Hutetei team ya mkoa kwa kutumia resources za serikali kufanyia figisu team zingine. Ni upumbavu Na ujingaKosa kubwa Rais akimuondoa mkuu wa mkoa kwa sababu ya kushabikia Pamba, yes yeye mkuu wa mkoa wa Mwanza lazima atetee team ya mkoa wake shida iko wapi? akisema amtoe mkuu wa mkoa basi nitajuwa Mama ni dhaifu. Kosa gani kalifanya mkuu wa mkoa kubwa? ukihatarisha usalama wa eneo haijalishi wewe nani hakuna aliye juu ya sheria.
Eti mashabiki 40m unaumwa wewe si bure.Hapo vip!