Yaani wewe hata kunifowadia tule tugazeti umeshindwa
Ni poa tu BAKMh! Sakayo ni aje jamani? πππ
Ni poa tu BAK
Huo mguno veepe!!!! Hivi ile namba yangu uliitupa au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sautiMimi akinitumia msichana nayempenda hata kama ninayo tayari nafungua tu
Ntumie basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti
Unifowadie sa hii msg moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kufanya hivyo
Sawa BAKSawa nimekusikia na kukuelewa Sakayo.
Unanipenda??Ntumie basi
Sana....ww tena barafu wa moyo wanguUnanipenda??
[emoji3] halelujahSana....ww tena barafu wa moyo wangu
Onyesha upendo[emoji3] halelujah
Kwani kutuma hizo video ndo upendoOnyesha upendo
HahaaaaaMimi akinitumia msichana nayempenda hata kama ninayo tayari nafungua tu
Ww unaonyesha vp upendo?!Kwani kutuma hizo video ndo upendo
Ni vzr mtu akikumbuka uonyeshe ushirikiano
Mimi kuna chache najibu bila kufungua, sasa moja mimi nikajibu 'same to u kumbe jamaa kaandika nawashukuru wote mliofanya nitabasamu mwaka huu
Ukitumiwa msg angalau basi hata ujibu msg zenyewe hizi tunatumiana mara 1 kwa mwakaSore sijakuelewa.. nisaidie hapo.