Hizi wizara za muungano (Fedha, Ulinzi, Ndani, Nje) ni ipi inaongozwa na Mzanzibari?

Hizi wizara za muungano (Fedha, Ulinzi, Ndani, Nje) ni ipi inaongozwa na Mzanzibari?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
umetumwa kuja kuangalia uhalali Wa masauni kuwa waziri Wa ulinzi?
 
Na mimi pia nataka mtanganyika anae shika nyadhifa hizo pia atajwe, sio mtanzania.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Rais akiishakuwa Mzazibari wazanzibari wanakuwa 'marais'. Ndiyo maana iliwezekana Chato kuwa kitovu cha utalii kanda ya ziwa ikiiacha kwa mbali Wilaya ya Serengeti. Kwa minajili hiyo ni kipi bora kupewa kati ya Uwaziri na 'urais'?
 
Back
Top Bottom