J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 21, 2021 #1 Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri. Nawatakia Sabato yenye baraka. Mungu ni mwema wakati wote!
Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri. Nawatakia Sabato yenye baraka. Mungu ni mwema wakati wote!
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Aug 21, 2021 #2 umetumwa kuja kuangalia uhalali Wa masauni kuwa waziri Wa ulinzi?
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Aug 21, 2021 #3 Na mimi pia nataka mtanganyika anae shika nyadhifa hizo pia atajwe, sio mtanzania. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Na mimi pia nataka mtanganyika anae shika nyadhifa hizo pia atajwe, sio mtanzania. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mtukudzi Senior Member Joined Nov 14, 2013 Posts 103 Reaction score 408 Aug 21, 2021 #4 Rais akiishakuwa Mzazibari wazanzibari wanakuwa 'marais'. Ndiyo maana iliwezekana Chato kuwa kitovu cha utalii kanda ya ziwa ikiiacha kwa mbali Wilaya ya Serengeti. Kwa minajili hiyo ni kipi bora kupewa kati ya Uwaziri na 'urais'?
Rais akiishakuwa Mzazibari wazanzibari wanakuwa 'marais'. Ndiyo maana iliwezekana Chato kuwa kitovu cha utalii kanda ya ziwa ikiiacha kwa mbali Wilaya ya Serengeti. Kwa minajili hiyo ni kipi bora kupewa kati ya Uwaziri na 'urais'?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 21, 2021 Thread starter #5 Statistics said: umetumwa kuja kuangalia uhalali Wa masauni kuwa waziri Wa ulinzi? Click to expand... Masauni atakuwa waziri wa fedha. Mwigullu Nchemba waziri wa ulinzi Kimei Nainu waziri wa fedha
Statistics said: umetumwa kuja kuangalia uhalali Wa masauni kuwa waziri Wa ulinzi? Click to expand... Masauni atakuwa waziri wa fedha. Mwigullu Nchemba waziri wa ulinzi Kimei Nainu waziri wa fedha