Hizi YouTube channel zinanimalizia bundle langu.

Hizi YouTube channel zinanimalizia bundle langu.

hapo hakuna cha ubest wala nini... nilivoona millard ayo hakuna au hata channel yeyote ya kibongo hakuna list yako nikaipuuza

hatuwezi kuwa tunadanganyana kweupe namna hii katika kipindi hiki kigumu cha lockdown
 
Bigdaws Tv nachekaga sana

MKBHD ni mkali sana when gadgets is a concern

Channels pia za house hunting na luxurious mansions and apartments
 
hapo hakuna cha ubest wala nini... nilivoona millard ayo hakuna au hata channel yeyote ya kibongo hakuna list yako nikaipuuza

hatuwezi kuwa tunadanganyana kweupe namna hii katika kipindi hiki kigumu cha lockdown
ANDREWsoft na Newzfid zote ni za hapahapa bongo.

Katika chennel zote nilizo-subscribe 50% ni za bongo 50% iliyobaki ni kutoka mataifa mengine kama Kenya, UK, USA, UAE, zipo channel nyingi sana. Kama hiyo ya Millard Ayo naifatilia ila ni mara chache sana maana habari nyingi nazipata kwenye account yake ya Instagram. Ni habari chache sana huwa nazifuatilia kwenye YouTube yake.

Hizo za kwenye list ndio kali kwangu maana kuna muda huwa nazifungua kabisa kuangalia kama kuna content mpya ila hizo Millard Ayo, Wasafi Media, Clouds Media mara nyingi huwa naona tu notification ndo nafungua.
 
Bigdaws Tv nachekaga sana

MKBHD ni mkali sana when gadgets is a concern

Channels pia za house hunting na luxurious mansions and apartments
BigDaws TV hatari sana mkuu ila anakaaga muda mrefu bila kupost, nkionaga kimya narudiaga tu kucheki video za zamani. 😂
 
Kama ni watcher mkubwa hivyo chukua Zuku unlimited internet ile ya 100Mbps 200K kwa mwezi funga ndani weka 4K TV kali ya Samsung au LG. Ukirudi home usiku baada ya kazi ukakaa ni dunia nyigine kabisa.
 
Hivi hao ZUKU wanakuunga lile dish lao au waya?
Kama ni watcher mkubwa hivyo chukua Zuku unlimited internet ile ya 100Mbps 200K kwa mwezi funga ndani weka 4K TV kali ya Samsung au LG. Ukirudi home usiku baada ya kazi ukakaa ni dunia nyigine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana-JF natumaini mko salama muda huu mkisoma uzi huu ktk kipindi hichi kigumu dunia inachopitia.
Pamoja na magumu yote na matatizo mwisho wa siku sisi ni binadamu na tunahitaji muda wa ku-relax na kupata madini mapya, burudani n.k. Mtandao wa YouTube sio mgeni kwa sasa kwa watu wengi wenye smartphone, umekua mkubwa kwa kuwezesha watu kupata video za vitu mbalimbali kutoka pande zote za dunia. Video hizo ambazo hupakiwa na watu (YouTubers) huwa na msaada ktk sekta mbalimbali kama vile; elimu, burudani na michezo, habari n.k.

Zipo akaunti nyingi sana ktk mtandao huu ila zinazopakia video tunaazita channel, kila mmoja ana channel ambazo humvutia kuzifuatilia na ili kupata habari kuwa kuna video mpya ktk channel huwa tuna-subscribe ili tusipitwe na video mpya na hata kuweka notification kabisa; just in a second video ikitoka unakuwa notified.

Katika mamilioni ya channel hizo huwezi kupenda zote ila zile chache uzipendazo ndio huifanya YouTube mtandao bora, leo nimeleta channel zangu bora kabisa ambazo nazifutailia mara kwa mara ktk category mbalimbali; achilia mbali channel zaidi ya 500 nilizo-subscribe bado zipo bora kuzidi nyingine;

Lifestyle & Vlogs
Mo Vlogs
Tanner Fox
Tío Aventura
Dennis Koburger
Stokes Twins
Nakita Johnson
MrBeast
Living Big In A Tiny House
Complex

Pranks
The Daily Dropout
Big Daws TV
Steven Schapiro
ThatWasEpic
Arya
angrypicnic

Food & Travel
Mark Wiens
Farhana Oberson

Educational
John Fish
Hafu Go
Bright Side
ANDREWsoft
Newzfid

Technology & Art
Marques Brownlee
Zach King
Peter McKinnon
Flux
Osse Greca Sinare

Entertainment
Chris Brown
Halsey
NFrealmusic
Netflix
Movieclips Trailers

Sports
Manchester United
adidas Football
Sky Sports
BR Football
SuperSport
Quality MUFC Videos
JTG Productions

Hizi ni baadhi tu ktk nyingi, kama na utapenda ku-share channel zako pendwa itakua poa sana ili tuweze kupata vitu vipya.
Wabongo katika kuelezea au kuorodhesha kitu chochote usipotumia lugha ya kingereza unaonekana mshamba . Pia hata muziki na maigizo ukionekana unafatilia za ulaya ndo unaonekana wakisasa. Sio kitu mbaya ila unapodharau vyakwenu unajidharau wewe pia. Tupambane kuvipandisha vibaya vyakwetu viwe bora ili tujivunie kwavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wako Masaki tu na O'bey. Maeneo mengine bado hiyo huduma
Basi poleni sana wa maeneo mengine, vuta subira lakini wanaexpand kwa speed watawafikia tu. 2020 ni muhimu sana uwe na internet ya uhakika nyumbani 24/7.
 
Back
Top Bottom