Habari wana-JF natumaini mko salama muda huu mkisoma uzi huu ktk kipindi hichi kigumu dunia inachopitia.
Pamoja na magumu yote na matatizo mwisho wa siku sisi ni binadamu na tunahitaji muda wa ku-relax na kupata madini mapya, burudani n.k. Mtandao wa YouTube sio mgeni kwa sasa kwa watu wengi wenye smartphone, umekua mkubwa kwa kuwezesha watu kupata video za vitu mbalimbali kutoka pande zote za dunia. Video hizo ambazo hupakiwa na watu (YouTubers) huwa na msaada ktk sekta mbalimbali kama vile; elimu, burudani na michezo, habari n.k.
Zipo akaunti nyingi sana ktk mtandao huu ila zinazopakia video tunaazita channel, kila mmoja ana channel ambazo humvutia kuzifuatilia na ili kupata habari kuwa kuna video mpya ktk channel huwa tuna-subscribe ili tusipitwe na video mpya na hata kuweka notification kabisa; just in a second video ikitoka unakuwa notified.
Katika mamilioni ya channel hizo huwezi kupenda zote ila zile chache uzipendazo ndio huifanya YouTube mtandao bora, leo nimeleta channel zangu bora kabisa ambazo nazifutailia mara kwa mara ktk category mbalimbali; achilia mbali channel zaidi ya 500 nilizo-subscribe bado zipo bora kuzidi nyingine;
Lifestyle & Vlogs
Mo Vlogs
Tanner Fox
Tío Aventura
Dennis Koburger
Stokes Twins
Nakita Johnson
MrBeast
Living Big In A Tiny House
Complex
Pranks
The Daily Dropout
Big Daws TV
Steven Schapiro
ThatWasEpic
Arya
angrypicnic
Food & Travel
Mark Wiens
Farhana Oberson
Educational
John Fish
Hafu Go
Bright Side
ANDREWsoft
Newzfid
Technology & Art
Marques Brownlee
Zach King
Peter McKinnon
Flux
Osse Greca Sinare
Entertainment
Chris Brown
Halsey
NFrealmusic
Netflix
Movieclips Trailers
Sports
Manchester United
adidas Football
Sky Sports
BR Football
SuperSport
Quality MUFC Videos
JTG Productions
Hizi ni baadhi tu ktk nyingi, kama na utapenda ku-share channel zako pendwa itakua poa sana ili tuweze kupata vitu vipya.