Ushiriki wa mashindano kombe la Mapinduzi linalofanyika kila mwaka ni wa hiari au lazima .... ?
Mashindano haya ni ya muhimu kuongeoza shamrashamra za kumbukumbu muhimu ya Mapinduzi matukufu na kuonyesha umoja wa watanzania bara na visiwani. Ombi langu bajeti ya sherehe hizi iongezwe kuliko kiwango cha zawadi inayotolewa hivi sasa ...zawadi ya 15m Kwa ushindi wa kwanza na 10m Kwa mshindi wa pili ni ndogo ukilinganisha hadhi ya Mapinduzi na vilabu husika.