Ha ha ha ha nyie mnapata ile supu ya pweza ya forodhaniHiyo hiyo inatosha na ndio sababu hata mikia leo kutwa nzima wanafurahia kupata M.10. teh teh.
Mbona mnaifurahia sasa? Leo hii kila shabiki wa Simba anafurahia M.10 yaani imewasahaulisha kichapo aisee. Inatosha hiyo hiyo.Mshahara wa mwez mmoja wa kagere ndio anapewa mshindi
Hahahaa. Hiyo hiyo Inatosha.Ha ha ha ha nyie mnapata ile supu ya pweza ya forodhani
Ha ha ha ha sie tufurahie mshahara wa kagere wakat tunamlipa? Labda tuwaulize kwan nyie mnateseka na simba kufungwaMbona mnaifurahia sasa? Leo hii kila shabiki wa Simba anafurahia M.10 yaani imewasahaulisha kichapo aisee. Inatosha hiyo hiyo.
Ijumaa - SimbaHahahaa. Hiyo hiyo Inatosha.
Ndio hapo sasa nashangaa kila unayemgusia matokeo Kombe la Mapinduzi anakwambia tumepata M 10. Duuh.Ha ha ha ha sie tufurahie mshahara wa kagere wakat tunamlipa? Labda tuwaulize kwan nyie mnateseka na simba kufungwa
Wacha Weee.Ijumaa - Simba
Jumamos - Simba
Jumapili - Simba
Yaan weekend ilikua inaihusu simba, ukisikia Simba unasema Juzi Jana na Leo
NdioooomaanaaaayangaaahuuujingaulitushindaaaaaaaUshiriki wa mashindano kombe la Mapinduzi linalofanyika kila mwaka ni wa hiari au lazima .... ?
Mashindano haya ni ya muhimu kuongeoza shamrashamra za kumbukumbu muhimu ya Mapinduzi matukufu na kuonyesha umoja wa watanzania bara na visiwani. Ombi langu bajeti ya sherehe hizi iongezwe kuliko kiwango cha zawadi inayotolewa hivi sasa ...zawadi ya 15m Kwa ushindi wa kwanza na 10m Kwa mshindi wa pili ni ndogo ukilinganisha hadhi ya Mapinduzi na vilabu husika.
gechukumapinduzii mngetengeza gazetiiiIjumaa - Simba
Jumamos - Simba
Jumapili - Simba
Yaan weekend ilikua inaihusu simba, ukisikia Simba unasema Juzi Jana na Leo
Hiyo hiyo inatosha na ndio sababu hata Mashabiki wa mkia leo kutwa nzima wanafurahia kupata M.10. teh teh.
Mtani hata kwenye huu uzi unatukamia? Kweli tumewafanya vibayaHiyo hiyo inatosha na ndio sababu hata Mashabiki wa mkia leo kutwa nzima wanafurahia kupata M.10. teh teh.
Unadhani hawajui kwamba ni ndogo wanajibanza kwenye kivuli cha M.10 ili kuziba aibu ya kufungwa na Azam.Wakati gharama za maandalizi mpaka kumaliza wametumia zaidi ya walichokipata hii tunaita biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Jamaaani Mtani. πππππMtani hata kwenye huu uzi unatukamia? Kweli tumewafanya vibaya
Ni kama wameshinda biko!Hiyo hiyo inatosha na ndio sababu hata Mashabiki wa mkia leo kutwa nzima wanafurahia kupata M.10. teh teh.
πππ
Dada nyie si mmepata ubuyu wa Zanzibar tu[emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo hiyo inatosha na ndio sababu hata Mashabiki wa mkia leo kutwa nzima wanafurahia kupata M.10. teh teh.