ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Apr 8, 2011 #1 Hawa tigo wa hizi msg zao za promo zina kera..usiku umelala unasikia msg imeingia ..unaangalia labda ni msg muhimu kumbe tigo na promo zao..sijui inawezekana vipi kuzizua hizi
Hawa tigo wa hizi msg zao za promo zina kera..usiku umelala unasikia msg imeingia ..unaangalia labda ni msg muhimu kumbe tigo na promo zao..sijui inawezekana vipi kuzizua hizi