Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Maadam mmelianzisha basi tumalizie kabisaaaaa: Hayo mabriscafe sijui briefcase huwa mnabeba nini humo? Sanduku zima zitoooooo unakuta mtu anazunguka nalo.Niliwahi kuona mbaba mmoja kila mara anazunguka na briefcase yake hata akienda chooni!
Kumbe bwana mule ndani kaweka maandazi na chapati anaogopa akiicha watu watamwekea sumu!
Halafu pia wanaweka condom, barua za wapenzi wao, wanaficha humo picha za mahawara zao........ kibaya zaidi zina combination namba huwezi kuchungulia mpaka mwenyewe akuruhusu!....... bisheni!