Hizo brief case za akina baba/kaka...zinaficha makubwa!

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2010
Posts
1,470
Reaction score
722
Maadam mmelianzisha basi tumalizie kabisaaaaa: Hayo mabriscafe sijui briefcase huwa mnabeba nini humo? Sanduku zima zitoooooo unakuta mtu anazunguka nalo.Niliwahi kuona mbaba mmoja kila mara anazunguka na briefcase yake hata akienda chooni!
Kumbe bwana mule ndani kaweka maandazi na chapati anaogopa akiicha watu watamwekea sumu!
Halafu pia wanaweka condom, barua za wapenzi wao, wanaficha humo picha za mahawara zao........ kibaya zaidi zina combination namba huwezi kuchungulia mpaka mwenyewe akuruhusu!....... bisheni!
 
huyo jamaa kama anazunguka na barua na picha za wapenzi na hawara
basi sio professional infi bali anajifunza au anaiga.
 

Hakuna kitu kama hicho.
men we are so smart.
tunaweka documents kwa ajili ya meeting etc.
Hii umeitoa kichwani mwako mama.
Usiwe na hofu na wanaume.
 
Mostly

1. Papers
2. More Papers
3. Other papers related to the 1st papers
4. Papers that will probably be needed when presenting the 2nd papers
5. Papers which will somehow be relevant with issues from all the other papers above (It is hard to figure them out unless you have another people outling what you need when!)
6. A variety of pens, clips and of course (sometimes in various colors too)
7. A laptop if you need to write more documents rising from the issues za kwenye the various papers already in the briefcase.


Clue: Only look the pockets of a man to find anything "exciting"! A seasoned man will not carry anything incriminating in his briefcase.. only two places .. in his brain (why we confuse things easily) or in his pockets (where it can easily be located). Ndio maana mwanaume hutakiwi kuzungumza sana ukibanwa utajichongea.

NOW YOU KNOW
 

mostly?? in addition..what else?
 
ndio mana na mimi nashangaa yaani barua, picha, condom kunako
briefcase!! huyo jamaa atakuwa ndio anaanza game labda
manake hata anayeanza si rahisi kufanya hivyo


 

Somehow true, but not as the case of women with handbags.
 

No words to add more. Thank you MM.
 
Hahha umewaweza halafu ukute kavaa suti maskini na joto letu bongo na briefcase lake tabu tupu sijui ni ushamba au lah agrrr, mie wananiboa kweli kweli hahha hahha :coffee::coffee::coffee:
 


Mimi mada ipo kwenye swahili jibu kwa swahili wengine lugha utata lol :A S 20::A S 20:
 
Hahha umewaweza halafu ukute kavaa suti maskini na joto letu bongo na briefcase lake tabu tupu sijui ni ushamba au lah agrrr, mie wananiboa kweli kweli hahha hahha :coffee::coffee::coffee:

Maria,
Umesahau...matapeli wengi wanabeba briefcase wakidhani ati itawapadisha chati waonekane wa maana!
Humo ndani unakuta hamna kitu!

Wahalifu pia hubeba briefcase... ndani utakuta mihuri hadi ya ikulu!
 


WABSHE nin?
hawana lolote WENGINE WANABEBA TAULO NA SABUN KWENYE BRIFCASE ZAO!!!!
 
Hakuna kitu kama hicho.
men we are so smart.
tunaweka documents kwa ajili ya meeting etc.
Hii umeitoa kichwani mwako mama.
Usiwe na hofu na wanaume.

MHH HAWANA LOLOTE
brfcase kuuubwa utapel tu
NDAN WANABEBA samak wa kukaanga na pilipili
 
Tausi,Tausi,Tausi_Mzalendo!....heeeeeeeee!!!!!!!!!!!!! mbona uzalendo umekushinda na umeamua kututundikia mikashfa ya kutunga,...tuombe radhi plz.
 
Ona sasa, wamekosa la kusema juu ya wanaume wanaanza kutundika mambo ya uongo! Turudi kule kule kwenye handbag zenu, kunahaja ya kujaza maleso na toilet paper na kuzunguka nazo mitaani? Ndo kusema manaenda sana toilet au? Kazi kweli kweli!:A S thumbs_down:
 
tausi nahisi mtu wa kulee KG yaani ubishi kwa kwenda mbele. Kaona naye lazima aweke post japo haina mashiko. Kubali yaishe ntakuoa lakini handbag No. Are u ready my love tausi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…