Maadam mmelianzisha basi tumalizie kabisaaaaa: Hayo mabriscafe sijui briefcase huwa mnabeba nini humo? Sanduku zima zitoooooo unakuta mtu anazunguka nalo.Niliwahi kuona mbaba mmoja kila mara anazunguka na briefcase yake hata akienda chooni!
Kumbe bwana mule ndani kaweka maandazi na chapati anaogopa akiicha watu watamwekea sumu!
Halafu pia wanaweka condom, barua za wapenzi wao, wanaficha humo picha za mahawara zao........ kibaya zaidi zina combination namba huwezi kuchungulia mpaka mwenyewe akuruhusu!....... bisheni!
Nabisha kwa nguvu zote...briefcase yangu imejaa makaratasi tu na mambo yasiyo rasmi.
Nimeipenda hiyo sehemu!
Za wengine zimejaa nini?
Maadam mmelianzisha basi tumalizie kabisaaaaa: Hayo mabriscafe sijui briefcase huwa mnabeba nini humo? Sanduku zima zitoooooo unakuta mtu anazunguka nalo.Niliwahi kuona mbaba mmoja kila mara anazunguka na briefcase yake hata akienda chooni!
Kumbe bwana mule ndani kaweka maandazi na chapati anaogopa akiicha watu watamwekea sumu!
Halafu pia wanaweka condom, barua za wapenzi wao, wanaficha humo picha za mahawara zao........ kibaya zaidi zina combination namba huwezi kuchungulia mpaka mwenyewe akuruhusu!....... bisheni!
Sijui hata...condom zipo madukani kisa cha kubeba na kutembea nazo kila upande kama zimegeuka almasi ninini? Wengine wanaona aibu ati kuacha makaratasi yao juu ya meza wake zao wakisoma wanaweza kuzimia.Wanaweza kugundua kuwa wanaume zao ni misheni town hata kama wameajiriwa maofisini. Ni watu wa deals kwa kwenda mbele.
MHH HAWANA LOLOTE
brfcase kuuubwa utapel tu
NDAN WANABEBA samak wa kukaanga na pilipili
wengine tunaweka hii kitu ndani.
View attachment 22083
NDIO MAANA UNAKUTA MTU ANATEMBEA NA MKOBA MKUUBWA - Pilot case kama hiiBriefcase ni ofisi. Hata jamaa wa Dowans nasikia kila nyaraka ziko mkobani na hawana ofisi
mimi sioni briefcase tena siku hizi labda wahasibu wa wahindi!
Most men carry Carrycases for notebooks,laptops,office docs,cheque books and related items...na hii inatokana na kuzidiwa na kazi na pia movement zimekuwa ngumu due to cost and traffic jams hivyo mtu anarahisisha kuwa na vyote wakati wowote na mahali popote!
Hili neno....... na ndio maana sikulizungumzia hili.... nazungumzia "Briefcases", siyo hata "gun cases" japo kuna mtu amejaribu kusema wanaweka bastola kwenye " briefcase"....
Wapo bado wenye kubeba briefcases "zilizojaa noti"!