Hizo milioni 500 mnazoahidi kwa timu ikishinda kwa nini msingeziingiza kwenye usajili mkasajili wachezaji Bora kuliko hao mlio nao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Boss wa maigizo Fc (kanjibahi) ameahidi kutoa milioni 500 endapo timu itashinda (kufuzu) hatua ya Robo fainali, hii hamasa haina tofauti na mgonjwa aliyekua anaumwa na kukosa dawa hakupewa msaaada Ila baada ya kufa msibani ndugu na jamaa wamechanga pesa kubwa.

Boss (kanjibahi) anajua kucheza na akili za mashabiki walioitwa na Rage Mbumbumbu.

Hoja Yangu: Ina maana pesa za hamasa zipo Ila pesa za usajili hamna!? Au hii hamasa kanjibahi kaitoa kwa kuwa anajua kabisa kolozdad Fc hawatotoboa?!
 
Una pointi usikilizwe
1000045110.jpg
 
Motivation inatakiwa jata kama utasajili wachezaji wa aina gan sasa 500mil unasajili mchezaji gani mzur kwa mfano,ukiangalia usajili wa Al ahly hyo huenda ni posho ya mchezaji mmoja au wawili so wako sawa kuahidi hyo pesa bila kuangalia usajili ukoje,jikune unapoweza
 
Una hoja nzuri sana.

Lakini Umehindwa kabisa kuiwasilisha Hoja yako vizuri.

Nimeandika hii makala kwenye Moja ya Gazeti la michezo Tanzania linalotoka kila siku.
 
Boss wa maigizo Fc (kanjibahi) ameahidi kutoa milioni 500 endapo timu itashinda (kufuzu) hatua ya Robo fainali, hii hamasa haina tofauti na mgonjwa aliyekua anaumwa na kukosa dawa hakupewa msaaada Ila baada ya kufa msibani ndugu na jamaa wamechanga pesa kubwa.

Boss (kanjibahi) anajua kucheza na akili za mashabiki walioitwa na Rage Mbumbumbu.

Hoja Yangu: Ina maana pesa za hamasa zipo Ila pesa za usajili hamna!? Au hii hamasa kanjibahi kaitoa kwa kuwa anajua kabisa kolozdad Fc hawatotoboa?!
Tumetolewa wote tugange yajayo hizi ngonjera hazina nafasi tena.
 
Back
Top Bottom