NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
AKILI KIBWA SANAMudi ana ujanja ujanja mwingi! Happ ameshagundua hawawezi kufuzu. Kwa nini asinunue magoli kama mwenzake GSM na pia Aziz Kii? Yaani ukipiga goli tu, hela inaingia kwenye akaunti!
TUNAONGELEA FOOTBALHuku lingusenguse hata zahanati ni shida,mtu anatoa 500M na tra wapo usingizini
Una pointi usikilizweView attachment 2953963
Tumetolewa wote tugange yajayo hizi ngonjera hazina nafasi tena.Boss wa maigizo Fc (kanjibahi) ameahidi kutoa milioni 500 endapo timu itashinda (kufuzu) hatua ya Robo fainali, hii hamasa haina tofauti na mgonjwa aliyekua anaumwa na kukosa dawa hakupewa msaaada Ila baada ya kufa msibani ndugu na jamaa wamechanga pesa kubwa.
Boss (kanjibahi) anajua kucheza na akili za mashabiki walioitwa na Rage Mbumbumbu.
Hoja Yangu: Ina maana pesa za hamasa zipo Ila pesa za usajili hamna!? Au hii hamasa kanjibahi kaitoa kwa kuwa anajua kabisa kolozdad Fc hawatotoboa?!
Hatuli footballTUNAONGELEA FOOTBAL
POLE SANAHatuli football