Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini:

Kutopewa risiti ya malipo
Kuambiwa sijanywa chai
Majalada yana mavumbi
Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati
Kuahirishwa kesi mara kwa mara
Kutopatiwa jalada kwa wakati
Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi

Niwatakie siku njema
 
Kuambiwa subiri hapo kwenye benchi kisha mhusika kupotea kimoja
 
Back
Top Bottom