Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini:
Kutopewa risiti ya malipo
Kuambiwa sijanywa chai
Majalada yana mavumbi
Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati
Kuahirishwa kesi mara kwa mara
Kutopatiwa jalada kwa wakati
Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi
Niwatakie siku njema