Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wanaotumia umeme kufanya biashara nao wasikatwe kodi?Kwenye huduma za jamii kuweka VAT ni kuwaumiza tu wananchi bila ya sababu.
VAT katika huduma ya maji na umeme ni uonevu.
Nashauri hio VAT iondolewe kwa wananchi wa kawaida labda ibakizwe kwenye sehemu za biashara na viwandani.