Hizo tozo kwenye umeme nazo zipunguwe walau kwa nusu kama kule kwenye mafuta

Kwenye huduma za jamii kuweka VAT ni kuwaumiza tu wananchi bila ya sababu.
VAT katika huduma ya maji na umeme ni uonevu.
Nashauri hio VAT iondolewe kwa wananchi wa kawaida labda ibakizwe kwenye sehemu za biashara na viwandani.
 
Vipi wanaotumia umeme kufanya biashara nao wasikatwe kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…